Wanawake weusi wanakabiliwa na uwezekano mkubwa wa hatari ya kuharibikiwa mimba kuliko wazungu, utafiti unasema. Uchambuzi wa jarida la Lancet wa taarifa kuhusu mimba za wanawake milioni 4.6 katika ...
Kristan Hawkins alipokuwa na umri wa miaka 23, alianza kulala ofisini kwake. Ilikuwa miaka kadhaa kabla ya shirika lake, Students for Life of America (SFLA), kuwa mojawapo ya makundi makubwa na yenye ...
"Huwa sifikirii mara mbili kuhusu jambo hili. Huwa tunazungumza kwa uwazi kabisa kuhusu utoaji mimba, ninakumbuka jinsi nilivyokuwa nawaambia marafiki zangu na familia yangu mimba ya mwisho niliyoitoa ...
Amri ya kitaifa ya kutotoka nje imeyafanya maisha ya wanawake wa India wanaojaribu kupata huduma salama za kutoa mimba kuwa magumu limeripoti jarida la Menaka Rao. Katika wiki ya mwisho ya mwezi Mei, ...
Kesi inayoendelea Marekani katika mahakama - itaamua iwapo madaktari na wanaharakati wanaopinga uavyaji mimba wanaweza kuzuia upatikanaji wa dawa ya mifepristone kwa sababu za usalama. Kidonge hicho ...
Hatua ya kumtoa mimba mtoto wa miaka 10 wiki hii, imezua mjadala mkali Brazil, ambapo suala la uavyaji mimba linakumbwa na mgawanyiko mkubwa. Lakini Melania Amorim, daktari ambaye amekuwa akiwasaidia ...
Makampuni makubwa ikiwa ni pamoja na Disney, JP Morgan na mmiliki wa Facebook Meta wamewaambia wafanyakazi watagharamia usafiri wa wafanyakazi kwa uavyaji mimba, huku mamilioni ya wanawake wa Marekani ...
Ni suala ambalo mara nyingi husababisha mgawanyiko mkubwa katika nchi nyingi, na bado ni marufuku katika baadhi ya nchi hizo: utoaji mimba. Suala hili pia linaathari kubwa kwa maisha ya mamilioni ya ...
Majadiliano kuhusu kuhalalisha uavyaji mimba au kutohalalisha mara nyingi huwagawanya wafuasi wa kimsingi wa kidini na wale wanaotetea serikali ya kilimwengu na matumizi kamili ya uhuru wa mtu binafsi ...
Mjadala umeibuka nchini Kenya kuhusiana na suala la wasichana wadogo wa shule ya msingi kupachikwa mimba. Mjadala huo ulitokana na kauli iliyotolewa na waziri wa elimu Amina Mohamed, kwamba "Idadi ...
Mamilioni ya wanawake nchini Marekani watapoteza haki ya kikatiba ya kutoa mimba, baada ya Mahakama ya Juu kubatilisha uamuzi wake wa miaka 50 wa Roe v Wade. Hukumu hiyo inafungua njia kwa majimbo ...
Mwanzoni ungemuambia mtu kwamba jambo hili lilikuwa likitendeka basi ungekumbana na pingamizi si haba kuhusu uwezekano na hata ukweli wa kile ambaco wafungwa walikuwa wakifanya waiwa ndani ya mageeza ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results